• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

USTAWI WA JAMII KUBAINI WATOTO WATUKUTU

Posted on: June 18th, 2018

Jamii kwa kushirikiana na ustawi wa jamii wametakiwa kuwabaini watoto wote wanaokinzana na sheria na kuwapeleka katika kituo cha maadilisho ili kuweza kupunguza waarifu  katika maeneo yetu.

Hayo yamebainishwa na Afisa Tawala wa Wilaya ya Mbeya ndug. Amimu Mwandelile wakati wa zoezi la kupeleka zawadi za sikukuu za Eid El Fitril zilizo tolewa na Mh. Rais  katika kituo cha kulelea watoto walio kinzana na sheria cha shule ya msingi Maadilisho Ilambo  kwa lengo la kuwafanya watoto hao kuona serikali na  jamii ipo pamoja nao.

Naye meneja wa kituo cha Maadilisho Ilambo ndug. Mustafa Mjema amefafanua kuwa kituo hicho kinachukua watoto walio kinzana na sheria kutoka pande zote za Tanzania.

Mjemba ametaja makosa yanayosababisha watoto kukinzanaa na sheria kuwa ni pamoja na ubakaji, ulawiti, wizi, pamoja na kustisha masomo. 

“Wazazi wengi wanakuwa na wasiwasi wa kuwapeleka watoto wao katika vituo wakiona kama ni sehemu ya magereza lakini niwatoe hofu kwani katika eneo hili tunawafundisha watoto mambo mengi sana ikiwemo jinsi ya kuishi na jamii, na wakirudi huko jamii iachane na tabia ya kuona wao ndio chanzo cha maovu wakiwa wametoka huku”

Kituo cha maadilisho kinachukua watoto kutoka pande zote za Tanzania kwa sasa kinawatoto wapatao 25 wa umri kuazia miaka 12 mpaka 17 kituo hicho kipo Wilayani Mbeya Kata ya Igoma kijiji cha Ilambo kilichopo chini ya Wizara ya Afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto.

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.