Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya waadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa kupatiwa zawadi wafanyakazi hodari
zoezi hilo limefanyika leo tarehe 01.05.2024 katika viwanja vya chuo cha Ualimu Mpuguso kilichopo wilayani Rungwe.
wafanyakazi hawa wametoka katika kada ya Elimu Msingi, Sekondari,Uhasibu, Utawala, Tehama, Ukaguzi wa ndani na Sheria
sherehe za mei mosi zimefana sana ambapo kimkoa zimefanyikia Wilayani Rungwe.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.