• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wakimbiza Mwenge Wa Kitaifa 2019 Walidhishwa na Usimamizi wa Miradi ya maendeleo halmashauri ya wilaya ya Mbeya

Posted on: September 6th, 2019

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2019, Mzee Mkongea Ally ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa kusimamia miradi ya maendeleo na kutekeleza maagizo ya serikali kwa uweledi, ufanisi na uadilifu.

Mkonge aliyasema hayo wakati wa makabidhiano ya mwenge wa Uhuru kati ya halmashauri ya wilaya ya Mbeya na halmashauri ya wilaya ya Busokelo yaliyo fanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Lugombo.

“Nikupongeze sana Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwani ile asilimia 10 inatolewa kwa wahusika ipasavyo nijambo jema sana,niwapongeze tena viongozi wote wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa miradi mizuri ya  maendeleo kwani mnafanya kazi kwa uadilifu na uaminifu.” Mkongea

Mwenge wa Uhuru katika halmashauri ya wilaya ya mbeya umepitia miraddi mbalimbali ikiwemo kukagua Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya,Ufugaji wa Samaki, Kuona mradi wa Uhifadhi wa chanzo cha Maji, shule ya wasichana Galijembe na Utoaji wa mikopo kwa wanawake, vijana na walemavu.

KWa habari zaidi Bofya link hapa chini

https://www.youtube.com/watch?v=E5ErGNv5x6w

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.