Halmashauri ya Wilaya Mbeya yawapatia mafunzo ya jinsi ya kutumia mfumo wa Upimaji wa Utendaji kazi kwa Watumishi wa Umma yaani PEPMIS/PIPMIS leo katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri.
Mfumo huu unaratibiwa na ofisi ya utumishi wa umma nchini chini ya Katibu Mkuu Utumishi ndugu Juma Selemani Mkomi ili kuwa wezesha watumishi kuweza kufanya uhamisho online na majukumu yao yote kwa kutumia mtandao.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.