• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waliowapa wanafunzi mimba kusakwa

Posted on: May 31st, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwasaka na kuwakamata watu wote waliohusika kuwapa mimba wanafunzi.

Makalla, ametoa agizo hilo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Inyala kata ya Inyala wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo iliyofanywa kwa nguvu za wananchi katika kata hiyo.

Aidha Mkuu wa mkoa amesema kuwa, haivumiliki kuona mwanafunzi amesitishiwa masomo kwa kupewa ujauzito kwani serikali inatumia gharama kubwa kuwasomesha kupitia mpango wa elimu bila malipo. Hivyo amewataka wazazi na jamii kwa ujumla kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola kuhakikisha wale wote waliohusika kuwapa ujauzito wanafunzi wanatiwa mbaroni.

“ Kwa hiyo suala hili la kuwapa watoto mimba, niwaombe wazazi na jamii kutoa ushirikiano wakati wa zoezi la kuwabaini wahusika”

Akipokea agizo hilo kwa niaba ya kamati ya ulinzi na usala Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Mhe. Paul Ntinika amewataka wale wote aliohusika kujisalimisha wenyewe mikononi mwa polisi kabla kamati ya ulinzi na usalama haijawabaini.

Awali alipotembelea shule ya sekondari Imezu kukabidhi viti 150 vyenye thamani ya shilingi 6,762,000/= vilivyotengenezwa na wazazi wa shule hiyo.  Mkuu wa shule, Mwl. Tibus Makona amesema kuwa licha ya mafanikio waliyoyapata bado shule inakabiliwa na changamoto ya mimba ambapo kwa mwaka huu hadi kufikia Mei 30 jumla ya wanafunzi watano (5) wamepata ujauzito, kati yao watatu ni wa kidato cha nne na wawili ni wa kidato cha pili na kwanza.

 

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    April 25, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.