• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA WATAKIWA KUJITUMA KATIKA KAZI

Posted on: January 15th, 2019

Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Stephen E. Katemba amewataka watumishi wa halmashauri kufanyakazi kwa bidii pamoja na kuwa na  kauli nzuri kwa wananchi.

Katemba ameyasema hayo wakati wa kikao na watumishi wote wa makao makuu cha kujadili na kusikiliza kero mbalimbali za watumishi zinazo kwamisha utendaji kazi.

“ kuna baadhi ya watumishi wanafanya kazi kwa kujituma kiasi kwamba hata mimi mwenyewe najisikia raha kwa mfano kuna mtumishi wa idara ya maji  Ndg. Wando Mwangwale  na mtumishi wa idara ya ujenzi ndg. Arthur Mwakajila  kwa kipindi hiki wamefanyakazi nzuri kuna muda wamediriki hata kuishi nje ya makazi yao  ilikuweza kukamilisha kazi zao hivyo kila mtu nitampa kiasi cha shilingi laki tano(500,000) kama  motisha” Katemba.

Pia ameitaka idara ya utumishi kuona namna ya kutafuata muundo mzuri wa kuwatambua  wafanyakazi bora na kuachana na tabia ya kuchagua watumishi wasio na sifa.

Kikao hiki ni moja ya vikao vilivyo pagwa na halmashauri vinavyo kaliwa kila baada ya miezi mitatu vya kujadili mipango mbalimbali ya maendeleo ya halmashauri na namna ya kuhudumia wananchi.

 

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.