• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Mbeya District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human Resources and Administration
      • Finance
      • Planning, Monitoring and Stastics
      • Health
      • Works
      • Water
      • Livestock and Fisheries
      • Community Development
      • Cleaning and Environment
      • Secondary Education
      • Agriculture, Irrigation and Cooperative
      • Primary Education
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • ICT and Public Relations
      • Legal
      • Election
      • Internal Audit
      • Procurement Management
      • Bee keeping
  • Investment Opportunities
    • Tourists Attraction
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
    • Expertise
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Commitee
      • Finance, Administration and Planning Committee
      • Economics affairs, Construction and Environment Committee
      • Education, Health and Water Committee
      • AIDS Prevention Committee
    • Time table
      • Councilors Meetings
      • Visiting Chairperson
  • Projects
    • Approved Projects
    • On-going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • By Laws
    • Service Contract
    • Strategic plan
    • Reports
      • Council Financial Report
      • Medium Term Expenditure Framework
      • Month Revenue and Expenditure Report
      • Council Development Report
      • Annual Performance and Financial Report
      • Full Council Minutes
    • Forms
    • Guidelines
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MKOANI MBEYA

Posted on: January 11th, 2024

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ikiongozwa na mwenyekiti wake Mhe Denis Londo Mbunge wa Mikumi imefanya ziara ya kutembelea  na kukagua miradi  ya elimu na miundombinu inayotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Mbeya na halmashauri ya wilaya ya Mbeya.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya cde: Juma Zuberi Homera ameiambia kamati ya Bunge ya TAMISEMI kuwa kutokukamilika kwa shule ya wasichana ya Mkoa iliyopo Wilayani Kyela ni kutokana changamoto mbalimbali ambazo tayari zimeshawasilishwa kwa Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI mhe Deogratius Ndejembi kwa kushirikiana na mratibu wa miradi SEQIUP ili ziweze kutatuliwa.

Homera ameyasema haya leo tarehe 11/01/2023 baada ya mjumbe kutoka kamati ya Bunge TAMISEMI kuhoji juu ya sababu za kutokakamilika shule hiyo baada ya kuwasili leo ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla ya kuanza Ziara yao ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Aidha amesemamiradi yote ya SEQIUP kwa Mkoa wa Mbeya imetekelezwa vizuri licha ya changamoto hiyo  ya shule ya wasichana ambayo nayo si muda inakwenda kutatuliwa.

Baada ya ufafanuzi huo wa Mkuu wa Mkoa Homera, Naibu Waziri wa Nchi TAMISEMI Mhe Deogratius Ndejembi aliwatoashaka wajumbe na kuahidi kuja nan jia mbadala ya kutatua changamoto hiyo kwa wakati, majibu ambayo yamepokelewa vyema na wajumbe wa kamati

Announcements

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • View All

Latest News

  • CRDB BENKI YATOA SHUKRANI KWA WATEJA WA HALMASHAURI

    September 17, 2025
  • RC MBEYA AHIMIZA MATUMIZI NISHATI SAFI.

    August 29, 2025
  • DC ITUNDA AKUTANA NA MACHIFU WA HALMASAHAURI YA WILAYA YA MBEYA

    August 28, 2025
  • DED ERICA E. YEGELLA APOKEA UGENI WA MACHIFU KUTOKA MKOA WA RUVUMA

    August 27, 2025
  • View All

Video

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
More Videos

Quick Links

  • MBEYA

Related Links

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Mbaliz Road

    Postal Address: 599

    Telephone: 025-2502260

    Mobile: 0762210758

    Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.