Kufanya tathimini ya ukarabati ya miradi ya maji ya zamani katika vijiji vya Usoha, kimondo,Muungano, Ulenje, na Iwindi kiasi cha shilingi Tshs. 62,115,885.80. zilitumika kufanya ukarabati wa miradi ya maji katika shule za sekondari za imezu, Shongo, Igale, Ihombe, na Iwala. tathimini yaukarabati wa miradi ya maji ulifanyika na ununuzi wa vifaa ulifanyika kama ilivyokusudiwa.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.