Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya katika kuhakikisha inakuwa na vyanzo thabiti vya mapato imepanga kuanzisha shamba la Parachichi ekaru 215 katika eneo la Itundu kata ya Itawa kwa kutenga kwenye bajeti kiasi cha Tsh. 110,000,000.00 cha kuanzia kwa mwaka wa fedha 2021.2022 ambapo mpaka 31 Agosti, 2021 kiasi cha Tsh. 35,000,000.00 kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji na maandalizi ya shamba yanendelea
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.