Ujenzi wa darasa moja na ‘’Wing’’ moja ya daharia katika Shule ya Sekondari Galijembe, Hatua ya ujezi Ujenzi wa Darasa na Daharia upo kwenye hatua ya msingi na kazi ya kujaza jamvi inaendelea.Kiasi cha Fedha kilichotolewa kwa ajili ya kukamilisha ujenzi huu ni Tsh. 63,355,404.80.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.