Shule ya sekondari wasichana Galijembe ipo katika Tarafa ya Tembela , Kata ya Tembela katika kijiji cha Galijembe. shule ilianza kujegwa na wananchi kwa kushirikiana na wadau wafanya biashara
kuanzia mwaka fedha 2008 ilipo anza kujegwa shule hii hadi mwaka huu 2019/2020, ujenzi wa shule hii umetumia jumla ya shilingi TSHS. 794,453,610.04.
Mchango wa halmashauri 407,399,310
mchango wa serikali kuu 201,713,141.90
wadau wa maendeleo 16,380,000
mfuko wa jimbo 17,511,858.14
wananchi 91,449,300.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.