Halmashauri ya wilaya ya Mbeya katika kuongeza vyanzo vya mapato ya ndani imeamua kugharamia ujenzi wa soko la Tunduma Road lenye jumla vichanja 521 ili kuwawezesha wafanyabiashara wa eneo hilo kufanya biashara katika mazingira mazuri.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.