Ujenzi wa vituo vya afya vya Ilembo, Santilya na Ikukwa umejengwa kwa fedha kutoka serikali kuu ambapo kiasi cha shilingi Tsh. 17,000,000,000.00 zilitolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo hivyo na kutoka katika mfuko wa mapato ya ndani ya halmashauri zilitolewa kiasi cha Tshs 280,000,000.00 katika kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya. ambapo ujenzi umekamilika na vituo hivi vimeanza kutoa huduma kwa wananchi.
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.