Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021 halmashauri wa wilaya ya mbeya imetoa mikopo kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wenye thamani ya shilingi Tsh. 839,000,000.00 ikiwa ni Tsh. 344,000,000.00. fedha za mapato ya ndani na 495,000,000.00 ni fedha za marejesho ya mikopo ya nyuma(revolving fundi)
Mbaliz Road
Postal Address: 599
Telephone: 025-2502260
Mobile: 0762210758
Email: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.