• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Miradi itakayotekelezwa

    

NA.
MIRADI ILIYOPANGWA KUTEKELEZWA 2020/2021
KIASI KILICHOTENGWA
1.
Uendeshaji wa  vikao vya kisheria vya Kamati mbalimbali pamoja na Baraza

310,092,000

2.
Kuendelea kutoa mikopo kwa vikundi vya kiuchumi vya Wanawake, vijana na watu wenye walemavu vilivyopo katika Halmashauri

353,442,100

3. Kurudisha 20% ya mapato ya ndani katika vijiji kwa ajili ya kuendeleza shughuli mbalimbali za maendeleo

706,884,200.00

4.
Kukamilisha ujenzi wa Hosteli ya wasichana katika Sekondari ya Iwiji

15,000,000

5 Kukamilisha ujenzi wa nyumba 2 za walimu katika shule za Msingi Igoma II na Isebe

20,000,000

6 Kuendeleza ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inayojengwa katika eneo la Inyala

500,000,000

7 Kuendelea kutoa Elimu bila malipo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

1,638,997,500

8.
Ukamilishaji wa vyumba 6 vya madarasa katika shule za msingi Mbalizi II, Isangati, Itizi, Igoma I, Itimba na Isyasya

75,000,000

9 Ukarabati wa miundombinu ya Halmashauri

10,000,000

10
Kuwasaidia wanafunzi taulo za kike wawapo shuleni.

8,000,000

11
Kuazisha kitalu cha kuzalisha miche ya parachichi 10,000.

10,000,000

12
Kuanzisha vitalu 5 vya uzalishaji miche ya kahawa katika kata ya isuto, Igale na Iwindi.

12,000,000

13
Ununuzi wa shamba ekari 3 kwa ajili ya kuanzisha shamba la Halmashauri la uzalishaji wa parachichi

10,660,000

14
Ununuzi wa POS kwa ajili ya kukusanyia ushuru

20,000,000

15
Kutoa huduma za dharura wakati wa majanga

10,000,000

16
Ununuzi wa gari litakalosaidia katika shughuli mbalimbali za Halmashauri.

140,000,000

17
Kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama wa Mama na Mtoto zinazofadhiliwa na Shirika la kimataifa UNICEF

493,653,750

18 Kuchochea maendeleo ya jimbo la Mbeya Vijijini kutoka Mfuko wa Jimbo.

60,400,000

19 Kuwezesha vituo vya tiba kutoa huduma za Afya kupitia ufadhili wa Mfuko wa pamoja wa Afya (HSBF).

640,292,000

20
Kuendeleza mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI kwa ufadhili wa shirika la WALTER REED.

159,700,616.75

21
Ujenzi wa Jengo la utawala la Halmashauri

1,000,000,000

22
Ujenzi wa wodi 3 katika Hospitali ya Wilaya ya Mbeya

500,000,000

23
Ununuzi wa Vifaa tiba katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

500,000,000

24
Umaliziaji wa Zahanati katka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya

150,000,000

25
Ujenzi wa maabara katika shule za Sekondari

150,000,000

26 Umaliziaji wa vyumba vya madarasa katika shule za Msingi

140,000,000

27 Mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF)

     1,896,798,000


Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC MBEYA AFUATILIA AGIZO LA RC HOMERA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUKO IWAMBI MBALIZI, ARIDHISHWA NA KASI YAKE.

    June 10, 2025
  • Tuheshimu Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali- DED Erica..

    June 06, 2025
  • MbeyaDc yaadhimisha siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika Mto Mbalizi

    June 05, 2025
  • BARABARA ZA BIL.2+ KUJENGWA MBEYA DC, MBUNGE NJEZA ASHUHUDIA MIKATABA.

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.