• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mifugo na uvuvi

1:0 UTANGULIZI. 

Idara ya Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya watumishi 45; kati ya hao saba (7) ni Maafisa Mifugo, ishirini na tano (25) ni Mafisa Mifugo Wasaidizi, Madaktari wa Mifugo wapo wawili (2), Maafisa Uvuvi wapo wawili (2), na mmoja (1) na nane (8) ni Maafisa Mifugo ngazi ya kijiji.  

 2:0 IDADAI YA MIFUGO

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya mifugo 475,364 ambao kati yao 72,099 ni Ng’ombe, 65,416 ni Mbuzi, 9,388 ni Kondoo, 2,578 ni Punda, 8,990 ni Mbwa, 20,942 ni Nguruwe, 291,894 ni Kuku, 1,640 ni Bata nap aka wapo 2,417.

3:0 ENEO LA MALISHO

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetenga maeneo yenye ukubwa wa Hekta 2,575.05 kwa ajili ya malisho ya mifugo katika vijiji vya Mjele na Chang’ombe.

4:0 MAJUKUMU YA KAZI ZA IDARA

Idara ya Mifugo na uvuvi inafanya majukumu mbalimbali chini ya vitengo vyake vikuu viwili ambavyo ni kitengo cha Mifugo na Kitengo cha Uvuvi.

4:1 Majukumu ya Kitengo cha Mifugo 

  • Kutoa elimu kwa wafugaji juu ya kufuata mbinu bora za ufugaji
  • Kusimamia Sheria, Kanuni na Taratibu mbalimbali za mifugo. Sheria hizo ni kama vile:

Sheria ya Veterinari (Veterinary Act) Na.16 ya mwaka 2003  

Sheria ya Magonjwa ya Mifugo (Animal Disease Act) Na. 17 ya mwaka 2003

Sheria ya Chakula, Madawa na Vipodozi Tanzania (The Tanzania Food, Drugs, and Cosmetics Act) ya mwaka 2003

Sheria ya Biashara ya Ngozi (The Hides, Slams and leather Trade) Na. 18 ya mwaka 2008

Sheria ya Ustawi wa Wanyama (The Animal Welfare Act) Na, 19 ya mwaka 2008

  • Kutoa na kusimamia tiba ya magonjwa ya Mifugo
  • Kutoa na kusimamia kinga ya magonjwa ya mifugo kama vile chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Homa ya Bonde la ufa, Kichaa cha Mbwa, Mdondo, Ugonjwa wa miguu na midomo(FMD) n.k
  • Kufanya ukaguzi wa nyama
  • Kusimamia miundombinu ya mifugo kama vile machinjio na majosho
  • Kusimamia usafirishaji wa mifugo kwa kuangalia afya ya mifugo inayotoka na kuingia Wilayani
  • Kuendesha shughuli za uboreshaji wa mifugo ya asili.·

4:2 Majukumu ya Kitengo cha Uvuvi

  • Kutoa elimu na ushauri wa kitaalamu juu ya uzalishaji bora wa samaki kwenye mabwawa
  • Kusimamia Sheria, Taratibu na Kanuni za ufugaji samaki ili kuhakikisha zinatekelezwa kwa wakati kwa mujibu wa Sheria ya Samaki (Fisheries Act) ya mwaka 2003
  • Kuhamasisha wananchi kufuga samaki kwa njia ya mabwawa

5:0 MAFANIKIO

  • Kujengwa kwa machinjio ya kisasa iliyopo kata ya Utengule Usongwe, Machinjio hii ipo katika hatua ya kufunga vifaa, kukamilika kwa machinjio haya itaongeza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa nyama bora itakayouzwa ndani na nje ya nchi.
  • Kuongezeka kwa uzalishaji wa maziwa toka lita 11,487,960 mwaka 2013 hadi kufikia lita 25,368,965  mwaka 2015
  • Kujengwa kituo kimoja cha uhimilishaji kilichopo kata ya Tembela.
  • Kuanzishwa/kufunguliwa kwa Majosho majosho kumi na saba (17) katika kata za Igale, Igoma, Ijombe, Ikukwa, Ilembo, Ilungu, Inyala, Itawa, Iwiji, Iwindi, Mjele,  Mshewe,  Santilya, Tembela na Ulenje.  
  • Kuongezeka idadi ya wafugaji samaki ambapo mkapa sasa Halmashauri ina jumla ya wafugaji 336.
  • Kuongezeka kwa mabwawa ya kufugia samaki ambapo mpaka sasa Halmashauri ina jumla ya mabwawa 452. Mabwawa hayo yanapatikana katika kata za; Ilembo, Masoko, Ikukwa, Mshewe, Iwiji, Utengule, Santilya, Isuto, Tembela, Inyala, Itewe, Ihango, Ulenje, Itawa, Ilungu na Bonde la Songwe.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.