• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu sekondari

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya shule za Sekondari 48, kati ya hizo 28 ni za Serikali na shule binafsi zipo 18. Shule hizo zote zinajumla ya wanafunzi 17, 985 na walimu wapo 710, kati ya hao walimu wa masomo ya Sayansi ni 126 na walimu wa Sanaa wapo 584. Shule za Serikali zilizopo kwa majina ni kama ifuatavyo:

Horongo, Ihango, Ikhoho, Ikukwa, Ilembo, Ilunga, Ilungu, Imezu, Isuto, Itala, Iwalanje, Iwiji, Iwindi, Izyira, Malama, Mpesu, Mshewe, Mwakipesile, Mwaselela, Nsongwi juu, Santilya, Shibolya, Shisyete, Songwe, Swaya, Teule, Usongwe na Yalawele.

Shule zinazoendeshwa na watu binafsi, Jumuia ya wazazi (TAPA) pamoja na taasisi za dini ni kama ifuatavyo:

Adam, Arise, Irambo, Itundu, Kanama, Maghabe, Maranatha, Mbalizi, Ntozo, Onicah, Pandahill, Rohila, Samaritan, Solace, St. Mary's Seminary Mbalizi, Swilla, Tembela na Wende.

MAFANIKIO YA IDARA 

Mafanikio yaliyopatikana katika Idara ya Elimu Sekodari ni pamoja na:

  • Kuongezeka kwa shule za Sekondari toka shule 28 mwaka 2006 hadi
  • kufikia idadi ya shule 46 kwa mwaka 2017, kati ya hizo shule 28 ni za Serikali na shule 18 ni za binafsi.
  • Shule mbili za Serikali ambazo ni Usongwe Sekondari pamoja na Iwalanje Sekondari zimepata kibali cha kuwa na kidato cha tano. Shule ya Usongwe Sekondari imeanza kidato cha tano mwaka 2008 na Shule ya Sekondari Iwalanje imeanza kidato cha tano mwaka 2010.
  • Kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza. Kwa mwaka 2017 jumla ya wanafunzi  3369 wamesajiliwa kidato cha kwanza kwa shule za Serikali, wavulana wakiwa  1481 na  wasichana ni 1888. Kwa shule binafsi jumla ya wanafunzi 1608 wamesajiliwa kuanza kidato cha kwanza, kati ya hao 746 ni wavulana na 862 ni wasichana.
  • Kuongezeka ufaulu wa wanafunzi wanaofanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne, ambapo kwa mwaka 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imeongoza kimkoa dhidi ya Halmashauri tano za Mkoa wa Mbeya.

CHANGAMOTO

  • Upungufu mkubwa wa walimu wa Sekondari kwa masomo ya Sayansi ambapo mahitaji ni walimu 235 waliopo ni 126 hivyo kufanya upungufu wa walimu wa masomo ya Sayansi kuwa 109
  • Upungufu wa nyumba za walimu ambapo mpaka sasa Halmashauri ina jumla ya nyumba za walimu 63 wakati mahitaji ni 623, upungufu wa nyumba za walimu ni 560
  • Utoro wa wanafunzi katika shule za kutwa

MIKAKATI YA KUBORESHA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

  • Kuhamasisha wananchi kuchangia zaidi katika maendeleo ya sekta ya elimu hasa ujenzi wa nyumba za walimu.
  • Kuomba kibali cha kuajiri walimu toka Idara Kuu ya Utumishi ili kuziba pengo la upungufu wa walimu wa Shule za Sekondari hasa katika masomo ya Sayansi.
  • Kuhakikisha kila Shule ya Sekondari ya Serikali inakuwa na bweni kwa ajili wa wanafunzi wasichana.
  • Maafisa Elimu kata pamoja na Watendaji wa Vijiji na Kata kushirikiana kuwahimiza wazazi kuwafuatilia watoto wao ili kudhibiti utoro.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.