• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Usafi na Mazingira

MAJUKUMU YA SEKTA YA USAFI NA MAZINGIRA:

Kuboresha hali ya usafi wa mazingira ya jiji la Tanga kwa kufanya yafuatayo:

Kimarisha huduma za udhibiti wa taka ngumu, usafi wa barabara, maeneo na mifereji ya maji ya mvua.

Kuratibu utoaji huduma za maji taka na kuimarisha usafi wa mazingira.

Kusimamia huduma ya udhibiti wa hifadhi na usalama wa mazingira.

Kuimarisha programu ya elimu jamii kuhusu usafi wa mazingira, uchangiaji ada za udhibiti taka na uzingatiaji wa sheria.

Kuimarisha ukaguzi, usimamizi na ufuatiliaji wa usafi wa majengo na siha ya mazingira na afya ya jamii

Kuimarisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya milipuko

Kuimarisha huduma za udhibiti wa usalama na ubora wa chakula na vipodozi

Kuimarisha huduma za udhibiti ubora na usalama wa maji na usafi wa mtu binafsi (Hygiene)

MFUMO WA UDHIBITI WA UCHAFUZI WA MAZINGIRA.

Wahusika katika utekelezaji wa sheria ngazi ya Kata/vijiji

Majukumu katika utekelezaji wa sheria za usafi

Vikundi vya ulinzi shirikishi wa mazingira
Vikundi hivi vitakuwa na jukumu la kuhakikisha kila siku maeneo yote yanapata huduma ya uzoaji taka kwa mujibu wa ratiba.
Vitafuatilia na kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kutupa taka ovyo.
Auxilliary Police na Askari mgambo
Watakuwa muda wote (masaa ya kazi) katika vituo vyao vya kazi na watahakikisha watu hawatupi taka ovyo.
Watawakamata watu watakaobainika kutupa taka ovyo na kuwafikisha kwa Afisa afya wa Kata / Afisa Mtendaji wa Kata /Afisa Mtendaji wa Mtaa.
Maafisa Watendaji wa Kata na vijiji
Wataongoza zoezi la udhibiti wa wachafuzi wa mazingira na kuratibu zoezi la utoaji adhabu na kusimamia utekelezaji wake.
Maafisa Afya wa Kata
Atakuwa msimamizi mkuu wa huduma za usafi wa mazingira katika Kata
Atasimamia utekelezaji wa matakwa ya sheria ikiwa ni pamoja na kuongoza taratibu za ukamataji wa wachafuzi wa mazingira na utekelezaji wa adhabu.
Mabaraza ya usuluhishi ya Kata
Watasuluhisha mashauri yanayohusiana na uchafuzi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kutoa adhabu kwa wote wanaokaidi kufuata taratibu na sheria za usafi wa mazingira.

TARATIBU ZA UTOAJI ADHABU KWA WACHAFUZI WA MAZINGIRA

Baada ya kukamatwa kwa wale wanaokaidi sheria na taratibu za usafi, watatozwa faini ya papo kwa hapo kwa makosa yanayostahili. Faini hiyo itatozwa na Afisa Mtendaji wa Kata na ama Afisa mwingine yeyote aliye chini yake na ambaye amemwidhinisha kwa barua kufanya kazi hiyo.Kwa makosa yasiyostahili faini ya papo kwa hapo, watuhumiwa watafikishwa katika mabaraza ya usuruhishi ya kata ama mahakamani.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.