• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MAFUNZO YA IPOSA YAFIKIA TAMATI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA

Imewekwa: May 22nd, 2019

Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya wilaya ya Mbeya ndugu Shirley Swai  ameishukuru na  kuipongeza serikali  kwa harakati  za kuazisha  mpango wa elimu changamani kwa vijana walio nje ya mfumo rasmi wa  elimu shuleni wenye lengo la kuwakomboa vijana hao kwa kuwapatia elimu ya stadi za maisha na ujasiriamali.

Pongezi hizo zimetolewa wakati wa kufunga mafunzo kwa walimu watakao kuwa wanatoa elimu hiyo kwa vijana yaliyo fanyika katika ukumbi wa kituo cha walimu Mbalizi.

Naye mwakilishi kutoka Taasisi ya watu wazi ndugu Placid Balige amesema kuwa elimu changamani kwa vijana walio nje ya mfumo rasmi inatolewa kwa vijana walio na umri kuanzia miaka 14 hadi 19.

 Harakati za kuhakikisha tunawapa elimu  vijana ambao wapo nje ya mfumo rasmi itakayo wasaidia katika kujifunza stadi za maisha, elimu ya ujasiriamali pamoja na ufundi wa awali katika fani mbalimbali ambazo zinaendana na mazingira waliyopo.

“kwa vijana ambao hawajui kusoma ,kuhesabu na kuandika naowatapata nafasi ya kuweza kufundishwa KKK kwa kuwa watapata elimu kwa kutumia mafunzo ambayo watakuwa  watakuwa wanasoma stadi za KKK huku wanafanya shughuli muhimu ambazo wanaweza kufanya katika maisha” Belige.

Mwalimu Williamu Ndunguru amehitimisha kwa kusema kuwa kama walimu wataenda kuiwezesha katika jamii kwani wamesha pata elimu ya namna ya kwenda kuwafundisha na watafundisha kwa weledi kwani vijana wengi wamekosa mwelekeo wa maisha kwa sababu ya kukosa elimu na mfumo huu utaenda kuwawezesha vijana katika stadi za maisha.

 

 

  •  

         

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.