• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

AFISA TAWALA MKOA WA MBEYA ASAINI MIKATABA YA UPIMAJI UTENDAJI KAZI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA MKOA WA MBEYA

Imewekwa: January 5th, 2024

Mapema leo tarehe 05 Januari, 2024 katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Afisa Tawala Mkoa wa Mbeya ndugu Rodrick Mpogolo pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya wamesaini Mkataba wa Upimaji wa Utendaji Kazi kupitia mfumo wa Upimaji Watumishi PEPMIS ambao ni mbadala wa Mfumo wa OPRAS uliokuwa ukitumika kuanzia mwaka 2004 hadi mwaka 2021.

Wakurugenzi wamesaini Mkataba huo ikiwa ni ishara ya kuanza kutekeleza Mfumo wa Upimaji utendaji kazi katika Utumishi wa Umma Kidijitali na kumhakikishia Afisa Tawala utendaji kazi mzuri na ulotukuka na kuwa watawasimamia watumishi walio chini yao kuweza kutekeleza majukumu yao ya kila siku na kutoa taarifa ya utendaji kazi wao kupitia mfumo PEPMIS.

Mfumo PEPMIS ni Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma (Public Employees Performance Management Information System – PEPMIS) unaohusisha hatua tano zinazotegemeana ambazo ni Kuandaa Mpango wa Utendaji Kazi wa Taasisi wa Mwaka; Kutekeleza na Kufuatilia Mpango wa Utendaji Kazi wa Taasisi wa Mwaka; Kuhuisha Mpango wa Utendaji Kazi wa Mwaka; Kufanya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Watumishi na Kukata Rufaa ya Matokeo ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Mtumishi wa Umma. Inategemewa kwamba, utekelezaji wa mfumo huu utarahisha utendaji kazi wa watumishi wa Umma na kuongeza uwajibikaji wa kila mtumishi kwa Umma na kwa Serikali.

Mfumo huu utatumika kwa watumishi wote wa umma Nchini, ukianzia na Mkuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na Vitengo, Wakuu wa Sehemu na kufatiwa na watendaji wote walio chini yao, ambapo mfumo utamtambua kazi zilizopangwa na kutekelezwa na kila mtumishi na kuzipima na hatimaye mtumishi kupata alama kutokana na utekelezaji wa Kazi alizopanga na alizofanya kwa mwaka husika.

Aidha, Katibu Tawala Mkoa amewataka Watumishi wote kuhakikisha kwamba wanautumia Mfumo huu kwa kuwa Utaleta mapinduzi ya Utendaji wa Serikali kwa kuongeza ufanisi na kuboresha huduma kwa Wananchi wanaotumia huduma zitolewazo na Watendaji Serikalini. Katibu Tawala Mkoa amesifu jitihada zinazofanywa na Serikali zikisimamiwa na Mhe. Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia S. Hassan na kuwapongeza watumishi walioupokea na kutimiza wajibu wao kwa kuandaa mipango ya Utendaji kazi wa Mwaka.

Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya amewataka Watumishi wote wa Mkoa wa Mbeya kuutumia Mfumo huu na kutekeleza kauti mbiu yake inayosema. ”PEPMIS - TUJENGE UTUMISHI WA UMMA WA KIDIJITALI”

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.