• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

CHALAMILA AUPONGEZA UONGOZI WA HALMASHAURI

Imewekwa: January 3rd, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Albert Chalamila amefurahishwa na juhudi za uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa kiwanda cha kuchakata nyama na mazao yake cha Utengule.

Chalamila amesema kuwa kunaumuhimu  wa kukamilisha kiwanda hicho  haraka ilikuweza kunusuru afya za wafanyakazi wa machinjio ya Mbalizi.

‘Tuharakishe haraka pale mahali ni hatari kwa afya ya wafanyakazi kwani  tutapoteza nguvu kazi ya taifa kutokana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu hata hivyo  eneo la pale ni dogo, kiwanda hiki   kinafursa za kutosha vijana watapata ajira,kitaongeza   uwekezaji katika eneo letu ikiwemo viwanda vya ngozi na chakula cha mifugo”.Chalamila

Naye mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ndg. Stephen E. Katemba amesema kuwa  kama Halmasahuri inampango wa kukamilisha hatua za awali ilikuweza kuhamisha machinjio ya mbalizi na kupeleka utengule kwani mpaka sasa  halmasahuri kwa mapato yake ya ndani imepeleka jumla ya shilingi za kitanzania milioni 168,000,000/= kwa ajili ya ukamilishaji wa awali wa kiwanda hicho.

Akisoma taarifa ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata nyama na mazao yake  naye Afisa mifugo na uvuvi wa Halmsahuri ya wilaya ya  Mbeya Ndg.Titus Mbijili amesema kuwa kiwanda cha kuchakata nyama na mazao yake kikikamilika kinauwezo wa kuchinja ng`ombe 400 na mbuzi  300 kwa siku, soseji za kulisha mkoa mzima, pamoja na kutoa nyama yenye kiwango na ubora.

 

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.