• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DCC YAPITISHA RASIMU YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2026/2027

Imewekwa: February 10th, 2026

Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) leo imepitisha Rasimu ya Mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.

Katika Mwaka wa Fedha 2026/2027, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imepanga kukusanya na kutumia jumla ya shilingi bilioni 72.4 kutokana na vyanzo mbalimbali ikiwemo mapato ya ndani  na ruzuku ya Serikali kwa ajili ya kugharamia mishahara (50.6b/=), matumizi ya kawaida yaani 'OC' (5.2b/=), maendeleo (13.8b/=), vyanzo fungiwa kama vile 'CHF', 'User Fee', NHIF, na Michango ya Jamii (2.6b/=).

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) wakifuatilia kikao kwa umakini.

Akisoma mapendekezo ya rasimu ya bajeti mbele ya DCC, Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu, Francisca Nzota amesema Mwaka wa Fedha 2026/2027, Halmashauri peke yake inakadiria kukusanya na kutumia jumla ya shilingi bilioni 8.4, ambapo shilingi bilioni 5.8 zinatokana na mapato halisi (own source proper) na shilingi bilioni 2.6 kutoka vyanzo fungiwa.

Ili kufanikisha malengo ya Mpango wa Maendeleo katika Mwaka wa Fedha 2026/2027, Halmashauri imekadiria kutumia jumla ya shilingi bilioni 13.8 kwa ajili ya kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kati ya fedha hizo shilingi bilioni 2.3 ni mapato ya ndani na shilingi bilioni 11.5 ni ruzuku kutoka Serikalini na wadau wengine wa maendeleo.

Mpango wa Maendeleo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 unalenga kuendeleza juhudi za Serikali katika kuimarisha Halmashauri kwa kujiongezea uwezo wa kutenda kazi, kutathmini na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo; kuwezesha wananchi kutambua fursa na vikwazo vilivyopo katika maeneo yao ili kupanga na kutekeleza mipango yao; Kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi kama ilivyoelezwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa Awamu ya Pili; Kutekeleza miradi ya maendeleo inayoendelea; na kukusanya mapato pamoja kubuni vyanzo vipya.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) wakifuatilia kikao kwa umakini.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DCC YAPITISHA RASIMU YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2026/2027

    February 10, 2026
  • MKURUGENZI: WALIMU ZINGATIENI USALAMA WA TAARIFA MTANDAONI

    February 09, 2026
  • MBEYA DC YALAZIMISHWA SARE MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA MUST

    February 07, 2026
  • RUZUKU YA MICHE YA KAHAWA YA SAMIA YAZIDI KUTIKISA MBEYA DC

    February 05, 2026
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.