• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

HALMASHAURI ZA WILAYA YA MBEYA NA MBOZI ZAMALIZA MGOGORO WA MPAKA KITONGOJI CHA MTAKUJA.

Imewekwa: February 20th, 2019

Halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa kushirikiana na wilaya ya Mbozi wamemaliza mgogoro  wa mpaka Uliodumu kwa muda mrefu katika kitongoji cha Mtakuja hasa Uchaguzi na shughuli za kimaendeleo.

Chanzo cha mgogoro huu wa mpaka Uliibuka pale ambapo kitongoji cha Mtakuja kilipoandikishwa katika kijiji cha Mjele wilaya ya mbeya na kutangazwa katika tangazo la serikali GN la mwaka wa Uchaguzi 2014 za serikali za mitaa na Serikali Kuu badala ya kuwa kijiji cha Mtunduru kata ya Magamba wilaya ya mbozi

Afisa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya mbeya Ndg Peter Lyanga Ameeleza namna walivyo chukua hatua mbalimbali kutatua mgogoro huo ikiwa ni pamoja na kufanya vikao Mbalimbali Ikiwemo cha ofisi ya mkuu wa mkoa wa mbeya,ofisi ya Mkuu wa wilaya ,Katibu tawala, Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya wilaya ya Mbeya pamoja  na cha Wataalamu kutoka TAMISEMI.

Aidha Lyanga Alisema kamati baada ya kupitia,kuangalia na Kujiridhisha mipaka ya Halmashauri hizo iliamua kitongoji cha Mtakuja kilichokuwa kimeorodheswa kwa namba 451 kati ya vitongoji 931 vya mbeya kiondolewe kutoka Halmashauri ya wilaya ya Mbeya na kuorodheshwa katika kijiji cha Mtunduru kata ya Magamba wilya ya Mbozi.

Akizungumza kwa niaba ya wananchi Ndg Halipot Shega Amewapongeza Serikali za halmashauri zote mbili kwa kufanikisha kumaliza mgogoro huo wa mpaka  ulio kuwa ukiwatesa kwa muda mrefu “ Sisi kama wananchi hatukatai kuwa  upande wowote ule kwani wote ni watanzania.”

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC MBEYA AFUATILIA AGIZO LA RC HOMERA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUKO IWAMBI MBALIZI, ARIDHISHWA NA KASI YAKE.

    June 10, 2025
  • Tuheshimu Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali- DED Erica..

    June 06, 2025
  • MbeyaDc yaadhimisha siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika Mto Mbalizi

    June 05, 2025
  • BARABARA ZA BIL.2+ KUJENGWA MBEYA DC, MBUNGE NJEZA ASHUHUDIA MIKATABA.

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.