• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Mbeya wajengewa uelewa utoaji mikopo kwa wananchi.

Imewekwa: November 22nd, 2019

Madiwani halmashauri ya wilaya ya Mbeya wamepatiwa elimu ya namna taasisi mbalimbali  za serikali zinavyo hudumia wananchi kwa kwakuwawezesha  wezesha wananchi kiuchumi.

Mafunzo hayo yalifanyika  katika ukimbi wa kijiji cha Inyala ambapo taasis zilizowasilisha mada za majukumu na kazi zinazo tekelezwa na taasisi hizo ni pamoja na NMB,CRDB,EQUIT BENK, NBC, POSTA BANK,TRA, VETA,TMDA,SIDO,TBS,BRELA, pamoja na kanuni za uundaji wa vikundi, mwongozo wa usajili na vigezo vya utoaji mikopo kwa makundi ya wanawake, vijana na walemavu iliyotolewa na afisa maendeleo ya jamii.

Akifungua mafunzo hayo makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya Mhe.Julius Ntokani amesema kuwa   mafunzo hayo ni mhimu sana kwa madiwani kwani yatawasaidia katika kutoa elimu mbalimbali kwa wananchi wanaowasimamia ikiwemo vingezo vinavyotumika katika utoaji wa mikopo.

Naye afisa maendeleo ya jamii Bi. Zena kapama amesema kuwa mafunzo haya yalilenga kuwaongezea ujunzi na uelewa madiwani juu ya mambo mbalimbali yanayo ratibiwa na taasisi za serikali kwani wao ndo mabarozi wazuri wa kufikisha ujumbe kwa wananchi kwani wananchi wengi wanapata shida ya uelewa kwa kukosa taarifa mbalimbali hususani ni zile za kanuni za uundaji wa vikundi na vigezo vya utoaji wa mikopo.

Kwa upande wa madiwani walio patiwa mafunzo hayo wamempongeza mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwakufanikisha mafunzo hayo na kuomba mafunzo hayo yawezeshe tena kwa wakati mwingine kwani ni mhimu kwa jamii kujua miongozo mbalimbali ilikuweza kuwarahisishia pale wanapo hitaji huduma hizo.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.