Kamati ya Fenda, Uongozi na Mipango chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Aidda C. Haule imeanza leo ziara ya siku tatu kwa lengo la kukagua na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri.

Katika ziara hiyo, Mhe. Aidda amepongeza utekelezaji mzuri wa miradi hiyo, akisema inaonesha matumizi sahihi ya fedha zinazotolewa na Serikali Kuu pamoja na mapato ya ndani ya Halmashauri. Amehimiza wasimamizi wa miradi kuendelea kusimamia kwa karibu ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na kuwanufaisha wananchi.

Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.