• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MBEYA DC YAWASILISHA MUONGOZO URATIBU VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU

Imewekwa: February 18th, 2026

Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) leo imefanya kikao cha Kamati ya Watu Wenye Ulemavu Ngazi ya Wilaya, kilichowakutanisha wawakilishi wa makundi mbalimbali ya watu wenye ulemavu.

Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kuwapatia na kuwapitisha katika Muongozo wa Uratibu wa Vyama vya Watu Wenye Ulemavu, ili kuimarisha usimamizi na uratibu wa shughuli zao.

Muongozo huo unalenga kuhakikisha vyama na makundi ya watu wenye ulemavu vinatekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sera, Sheria, Kanuni, Miongozo na Taratibu zinazohusu haki, ustawi na maendeleo ya watu wenye ulemavu.

Akiwasilisha taarifa fupi kuhusu muongozo huo wakati wa kikao, Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Halmashauri ya Mbeya DC, Bi. Emmiliana Mbisse, alisema kuwa muongozo uliopo sasa unataka mikutano yote ya makundi ya watu wenye ulemavu iratibiwe katika ngazi ya wilaya chini ya usimamizi wa Serikali, kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) pamoja na wadau wengine.

Alieleza kuwa mikutano hiyo, ikiwemo maadhimisho mahsusi ya vyama kulingana na aina ya ulemavu, inapaswa kufanyika katika ngazi ya Halmashauri. Kwa maadhimisho ya kitaifa, wanachama wa chama kinachoadhimisha watashiriki kupitia Halmashauri zao husika.

Aidha, chama kitahusika kuratibu maadhimisho hayo, huku gharama zikiratibiwa kwa ushirikiano kati ya chama husika, Halmashauri na wadau mbalimbali.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MBEYA DC YAWASILISHA MUONGOZO URATIBU VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU

    February 18, 2026
  • WATUMISHI MBEYA DC WAPEWA SOMO KUHUSU AFYA YA AKILI

    February 17, 2026
  • ZALISHENI MBEGU KWA AJILI YA WAKULIMA – MWINUKA

    February 18, 2026
  • REA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 114 MBEYA DC MAPEMA MWAKA HUU

    February 13, 2026
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.