• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI, AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUZINGATIA KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA

Imewekwa: July 27th, 2019

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mwita Waitara amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya wilaya ya Mbeya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa

Waitara amefanya ziara hiyo leo ijumaa julai 26,2019 kwa kutembelea mradi wa Ujenzi wa Shule ya wasichana Galijembe ambapo serikali imetoa  zaidi ya shillingi Milioni 152 kufanikisha ujenzi wa shule hiyo, Kikundi cha wakinamama kinacho jishughulisha na uzalishaji wa sabuni pamoja na kikundi cha vijana kilichopewa mkopo wa pikipiki na halmashauri.

Kimsingi ziara yangu imelenga kuona ile kodi ambayo wananchi wanatoa pamoja na fedha za halmashauri na serikali kuu zinaenda kwenya miradi ya maendeleo

Waitara amesema kuwa halmashauri zinapaswa kuhakikisha kuwa asilimia 10 za makusanyo ya mapato zinatolewa kwa vijana, walemavu na wanawake kama ilivyo agizwa na serikali ilikuweza kuwainua wananchi kiuchumi, serikali ilishatoa maelekezo kuwa fedha zinazopelekwa kwa wananchi zitumike kwa malengo ya miradi husika na ndio maana leo nimepita iliniweze kukagua na kujiridhisha.

Awali akizungumza na Watumishi wa halmashauri ya wilaya ya mbeya, na Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Waitara amewataka watumishi kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kuzingatia kanuni za Utumishi wa umma huku akiwataka watumishi kuwatembelea na kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo yao nasi kukaa tu ofisini.

 “Uhalali wa Mtumishi wa umma au kuwa eneo lolote kama mtumishi wa umma nipale ambapo atatimiza wajibu aliokabidhiwa, nasisi wasaidizi wake tumekuja hapa tukakuta umepewa mradi ukausimamie, umesimamia hovyo hovyo huwezi kubaki salama” Waitara

Pia aliwataka wakuu wa idara na vitengo kuhakikisha wanatengeneza mahusiano, wanawaheshimu na kuwashirikisha wasaidizi wako katika majukomu yao na kusimamia miradi ya maendeleo iliyopo katika maeneo yao kwa uweledi.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.