• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Tuheshimu Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali- DED Erica..

Imewekwa: June 6th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Bi Erica E Yegella amewataka wananchi wa kitongoji cha Idugumbi kilichopo Kata ya Utengule Usongwe kufuata sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali na kuheshimu mamlaka inayowaongoza.


Bi Erica ameyasema hayo leo Juni 6, 2025 alipofanya mkutano wa hadhara katika kitongoji hicho.

Amesema Serikali haitafumbia macho wanaokusanya mapato bila utaratibu ulowekwa na Serikali akiongea na wananchi wa kitongoji hicho amesititiza ukusanyaji wa mapato utumie "Pos au control namba" zinazotolewa na Halmashauri kupitia Maafisa mapato.


Mkurugenzi amesisitiza kuwa wale wote wenye fedha mkononi waende kwa afisa mapato ambaye alikuwepo kwenye mkutano huo ili waziwasilishe kwa control namba kabla Halmashauri haijatumia nguvu.


Aidha wananchi wa kitongoji hicho wamemshukuru Mkurugenzi kwa kufika na kuitikia wito wa kuja kuwasikiliza kero zao, ikiwa kero kubwa ni umaliziaji wa ujenzi wa Zahanati ya Idugumbi ambao umesimama kwa muda sasa.

Bi Erica amesema kuhusu Zahanati atamtuma mhandisi kufika hapo na kufanya tathimini ili Halmashauri imalizie ujenzi huo ambao wananchi walianzisha.


 Mkurugenzi mtendaji amewashukuru wananchi wa Idugumbi kwa kuitikia wito na kuwa wawazi. Ameongeza pia swala lao la ubadhilifu wa matumizi ya fedha kwenye ujenzi wa Zahanati hiyo tayari yapo TAKUKURU yanafanyiwa kazi.

@ortamisemi

@mohamed_mchengerwa @benomalisa @juma_zuberi_homera

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • DC MBEYA AFUATILIA AGIZO LA RC HOMERA UJENZI WA BARABARA YA MCHEPUKO IWAMBI MBALIZI, ARIDHISHWA NA KASI YAKE.

    June 10, 2025
  • Tuheshimu Sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali- DED Erica..

    June 06, 2025
  • MbeyaDc yaadhimisha siku ya Mazingira Duniani kwa kufanya usafi katika Mto Mbalizi

    June 05, 2025
  • BARABARA ZA BIL.2+ KUJENGWA MBEYA DC, MBUNGE NJEZA ASHUHUDIA MIKATABA.

    May 24, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.