• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

UONGOZI WA HALMASHAURI WATAKIWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU.

Imewekwa: February 11th, 2021

MKUU wa Wilaya ya Mbeya ,William Ntinika ameagiza halmashauri ya wilaya ya Mbeya kubuni vyanzo vya mapato vya ndani ili iwe na uwezo wa kujitegemea yenyewe.

Ntinika amesema hayo  wakati wa kikao cha kamati ya ushauri cha wilaya(DCC) kilichokuwa kikijadili Rasimu ya bajeti ya halmasahauri ya Wilaya ya Mbeya kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambacho kiliwashirikisha viongozi mbalimbali wa Wilaya .

Aidha Mkuu huyo wa Wilaya alisema kuwa halmshauri kama wana ardhi nzuri kwanini wasifanye ubunifu wa kujenga shule ambayo itakuwa chanzo cha mapato ya ndani .

“Wenzenu Halmashauri ya Jiji wana wana shule tatu ambazo ni Magufuli,Azimio , Mkapa hizi zote zinawaingizia mapato ya ndani na sasa wana shule inajengwa itaitwa Nsalaga na tayari Mkuu wa Mkoa na timu yake walikuwa huko kukagua muda si mrefu itakamilika ,na nyinyi kama halmashauri ya wilaya na mna ardhi nzuri kwanini msifanye ubunifu huo mkajenga na watu wapo tayari hivyo ni vyanzo vya ndani ili halmashauri iwe na uwezo wake wa kujitegemea”alisema Mkuu huyo wa Wilaya.

Hata hivyo Ntinika alisema kuwa kati ya fedha Bil.56 mapato ya ndani ni Bil.4 kwa maana ina uwezo wa asimilia 8 na kuwa asimilia 82 inategemea kutoka serikali kuu na kwamba mwaka jana waliletewa bil.1 .7 ambazo zimejenga vituo vya afya vya Santilya .mil.500,Ikukwa,mil.800,Ilembo,mil.400 na ndo sababu  Rais alisema halmashauri ianze kujenga vituo vya afya .

Aidha Ntinika alitoa wito kwa halmashauri kupitia wataalam wake kuendelea kuwa wabunifu jinsi ya kuwa na vyanzo vya mapato ya ndani ambavyo vitasaidia ili halmashauri iweze kujitegemea .

Kwa upande wake Mwenyekiti wa umoja wa wazazi wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Mbeya(CCM) ,William Simwali alisema halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imekuwa ya mfano kwa kutoa mafuta kinga na vifaa saidizi kwa watu wenye ulbino.

Simwali alisema kuwa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya ni halmashauri pekee kwa Mkoa wa Mbeya ambayo imekuwa mkombozi kwa kutoa fedha zake za mapato ya ndani kununua mafuta kinga kwa watu kwa wenye ulbino,Mbeya , Songwe,Rukwa kwa kutenga fedha kutoka mapato ya ndani kununua mafuta kwa ajili ya watu wenye ualubino.

Aidha alishauri serikali kuhakikisha kuwa kila halmashauri inatenga fungu maalum kwa ajili ya kupata mafuta kinga na vifaa saidizi kwa watu wenye ulemavu kwani watu wenye ulbino adui wao mkubwa ni salatani ya ngozi ambayo inawafanya washidwe kufikisha hata miaka 40 .

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.