• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

WANANCHI WA KIJIJI CHA IFUPA WAIKOSHA TANAPA!

Imewekwa: January 29th, 2020

TANAPA yapongeza Wananchi wa kijiji cha Ifupa kata ya Ilungu tarafa ya Tembela Halmashauri ya wilaya ya Mbeya kwa ushirikiano walioutoa wakati wa utekelezaji wa ujenzi wa nyumba ya mganga wa zahanati ya Ifupa.

Pongezi hizo zimetolewa na mkuu wa hifadhi ya TAIFA YA  kitulo ACC Teodora A. Batiho alipokutana na  kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya halmashauri ya wilaya ya mbeya wakati wa ziara ya  kukagua na  kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa  wa 2019/2020 .

Akizungumza na Kamati Teodora amesema anaupongeza uongozi wa kijiji pamoja na wananchi kwa ushirikiano walioutoa wa kuchangia nguvu kazi katika utekelezaji wa  mradi huo.

“Kijiji hiki kwa kweli kimekuwa ni cha mfano tumetekeleza  miradi kama hii sehemu nyingi ila hawakuweza kuwa na ushirikiano kama ulivyo hapa, kijiji hiki kimetoa ushirikiano mzuri na wakutosha  ndio maana tumeweza kukamilisha mradi huo kwa wakati”,Teodora.

Kwa niaba ya kamati hiyo naye mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Mh. Kisemba Mwalingo ametoa pongezi kwa Uongozi wa TANAPA kupitia hifadhi ya Kitulo kwa ufadhili wa ujenzi wa nyumba ya Mganga

“Niwapongeze kwa kazi mnazozifanya  TANAPA za kuhifadhi rasilimali zetu ambazo pia zinatuleta mapato na sisi tumeona mfano wa nyumba hii ni mapato yanayotokana na kazi ya uhifadhi wa rasilimali mnazofanya”. MWALINGO.

Hifadhi ya kitulo kupitia idara ya ujirani mwema inatekeleza Ujenzi wa nyumba ya mganga wa zahanati ya Ifupa yenye thamani ya shilingi milioni 86 huku TANAPA wakiwa wamechania nilioni 67 na wananchi milioni 19 mpaka mradi ukamilike ambao  kwa sasa ujenzi  upo katika  hatua za mwisho.

Hata hivyo kamati ilipata fursa ya kutembelea miradi mingine kama shule ya sekondari Galijembe, shule ya sekondari Utengule Usongwe, ujenzi wa vyoo katika shule ya msingi Izumbwe II, Kutembelea  daraja la Isende, ukaguzi wa  ujenzi wa  soko la Tunduma Road, pamoja na Kutembelea  Zahanati ya Idimi.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.