• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

wanaorudisha mikopo kwa wakati wakopeshwe vyombo vya usafiri-Chalamila

Imewekwa: July 11th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila ameushauri uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya  kuweka utaratibu wa kukopesha daladala, matipa, matrekta na pawatila kwa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu wale wanaorudisha mikopo kwa wakati ili waweze   kujikwamua  kiuchumi.

Chalamila ametoa ushauri huo wakati wa zoezi la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake, vijana na walemavu liliofanyika katika uwanja wa Miyombo uliopo kata ya Inyala.

“halmashauri ya wilaya ya Mbeya ni halmashauri ya kwamza kimkoa inayoendana na kasi ya serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo, mkurugenzi na mkuu wa wilaya kwa sasa anzeni kuwakopesha hao vijana matipa na daladala ili vikundi vilivyofuzu vizuri vianze kuhama kutoka kwenye kukopa bodaboda kwenda kwenye kosta na kutoka kwenye kosta kwenda kwenye matipa na wale wanaojishughulisha na shughuli za kilimo wakopeshwe matrekta.

Akisoma taarifa ya mwenendo wa mikopo katika halmashauri naye afisa maendeleo wa halmashauri Bi zena Kapama amesema kuwa katika kipindi cha robo ya nne ya mwaka 2019/2020 (aprili mpaka juni) halmashauri  imetoa kiasi cha shilingi million 243 kwa vikundi 16 vya wanawake, vijana na walemavu.

Nao wanufaika wa mikopo hiyo wameahidi kutumia vizuri mikopo hiyo ili iweze kuwasaidia katika kusomesha watoto na kutatua matatizo madogo madogo katika jamii na si kutumia vibaya.

“mikopo hii nitaitumia vizuri kama unavyoona haina riba hivyo nitahakikisha natumia vizuri kwani itatusaidia kusomesha watoto hivyo nawashauri wenzangu kuacha kabisa kutumia pesa vibaya ikiwa ni pamoja na kuhonga na kulewea pombe.” Nuru Sanga.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.