• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
Mbeya District Council
Mbeya District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya Mbeya

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mifugo na uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu msingi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Ufugaji wa nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Wataalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
      • Taarifa ya fedha
      • Mpango wa Mapato na Matumizi
      • Mapato na Matumizi ya Mwezi
      • Taarifa ya miradi ya maendeleo
      • Taarifa ya fedha ya mwaka
      • Mihtasari ya Mikutano ya Baraza
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
      • Mwongozo wa Matumizi ya Vifaa vya TEHAMA
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Picha mwendo
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Watumishi 72 warejeshwa kazini halmashauri ya wilaya ya Mbeya

Imewekwa: April 20th, 2018

Halmashuri ya wilaya ya Mbeya imewarejesha  kazini watumishi 72 walioondolewa kwenye mfumo wa malipo ya mishahara kwa kukosa sifa ya cheti cha kufaulu mtihani wa elimu ya kidato cha nne.

Akizungumza na watumishi hao katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya, Mkurugenzi Mtendaji, Amerchioly Kulwizila amesema watumishi hao wamerejeshwa kazini ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na utawala bora), George Mkuchika  alilolitoa bungeni tarehe 9 Aprili, 2018  katika kikao cha kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo.

Aidha, Kulwizila amewahakikishia watumishi wote waliorejeshwa kazini kupatiwa stahiki zao kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni. Pia amewataka kufanya kazi kwa uzalendo katika kuwatumikia wananchi.

Akisoma waraka wa kuwarudisha kazini watumishi hao Afisa Utumishi, Bi. Sikijua Kihwelo amesema  watumishi waliorudishwa katika utumishi wa umma ni wale ambao walioajiriwa kwa cheti cha darasa la saba kabla ya mei 20, 2004. Amesema zoezi hili haliwahusu watumishi walioondolewa kazini kwa kosa la kughushi cheti cha elimu ya kidato cha nne na waliotoa taarifa za uongo katika fomu za kupima utendaji kazi kwa watumishi wa umma.

Watumishi hao waliondolewa kazini mwezi Septemba, 2017 kutokana na agizo la Serikali la kuwatoa katika mfumo wa malipo ya mishahara watumishi walioajiriwa kabla ya mei 20, 2004 kwa kukosa sifa ya ufaulu wa kidato cha nne kama waraka na. 1 wa mwaka 2004 ulivyokuwa unataka.

Matangazo

  • VITUO VYA KUJIANDIKISHIA ORODHA YA WAPIGA KURA October 11, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA KWA KAZI YA MSAIDIZI WA WATOTO MAHAKAMANI February 02, 2022
  • TANGAZO LA ZOEZI LA UTOAJI WA ANWANIZA MAKAZI March 04, 2022
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA March 16, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KIAPO CHA UTII KWA WAUGUZI MBEYADC

    May 16, 2025
  • BI. ERICA AMEMTEMBELEA ASKALI ALIELAZWA HOSPITALI YA IFISI

    May 08, 2025
  • Mapokezi ya Mhe Mchengerwa MbeyaDc

    April 26, 2025
  • Karibu Mhe. Mchengerwa

    April 25, 2025
  • Tazama zote

Picha Mwendo

"Wapo Wakuu wa Idara na Vitengo wakiamishwa watu wanafanya sherere" Waitara Naibu waziri TAMISEMI
Picha mwendo zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MBEYA

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • UTUMISHI
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti ya mkoa wa Mbeya

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Mahali

Wasiliana nasi

    Mbaliz Road

    Sanduku la posta: 599

    Simu ya mezani: 025-2502260

    Simu ya mkononi: 0762210758

    Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani elekezi
    • Huduma zetu

Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.