1:0 UTANGULIZI.
Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya watumishi 128 watumishi hao hutoa huduma moja kwa moja kwa wananchi na kuwanufaisha wakulima kufuata mbinu bora za kilimo zinazoendana na mabadiliko ya tabia nchi.
1:1 Ardhi inayotumika kwa kilimo
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inaukubwa wa hekta 243,200 Kati ya hekta hizo hekta 216,400 sawa na asilimia 88.9. zinafaa kwa kilimo.
2.0 MAZAO YANAYOLIMWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
Mazao yanayolimwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya yamegawanywa katika makundi mawili; yaani mazao ya biashara na mazao ya chakula.
(a) Mazao ya Biashara
Mazao ya biashara yanayolimwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ni zao la Pareto pamoja na zao la kahawa.
(b) Mazao ya Chakula
Mazao ya chakula yanayolimwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ni; mahindi, viazi mvilingo, mazao ya jamii ya mikunde (maharagwe na njegele), pamoja na mazao ya mbogamboga.
3:0 MAJUKUMU YA KAZI ZA IDARA.
Idara ya kilimo, Umwagiliaji na ushirika katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inatekeleza majuku yafuatayo:
4:0 MAFANIKIO:
Idara ya kilimo na Ushirika imepeta mafanikio yafuatayo:
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.