Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inaongozwa na Baraza la Madiwani ambacho ndicho chombo kikuu cha maamuzi. Kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya za Mwaka 2013 kanuni ya 40 (1) Halmashauri kupitia mkutano wa mwaka itateua wajumbe wa kamati mbalimbali za kudumu, ikiwema kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira.
Mbali na majukumu mengine, jukumu mahususi la Kamati hii ni kushughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, Biashara n.k. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la mendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira.
WAJUMBE WA KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA
Kama ilivyoelezwa hapo juu kuwa kupitia Mkutano wa Mwaka Baraza la Madiwani linajukumu kubwa ya kufanya uteuzi wa wajumbe wa kamati mbalimbali za kudumu ikiwemo kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira.
Ifuatayo ni orodha ya wajumbe wa kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingiwa
Orodha ya wajumbe wa kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira.pdf
MAJUKUMU YA KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO.
Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira inatekeleza majuku yake kisheria kama yalivyoainishwa kwenye Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya za Mwaka 2013. Majukumu hayo ni kama ifuatavyo:
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.