Idara hii inahusika na kukusanya mapato na kudhibiti matumizi kwa kutumia miongozo ya kitaifa na kimataifa.
NA |
HUDUMA ZINAZOHUSIKA |
VIWANGO VYA MUDA |
KITENGO CHA MAPATO:
|
||
|
Kupokea fedha kutoka kwa watendaji/wakusanya mapato.
|
Ndani ya dakika 5 kwa mwenye vitabu visivyozidi 3.
|
|
Kukatia stakabadhi fedha kutoka Hazina na sehemu nyinginezo
|
Ndani ya dakika 10 kwa “Bank Statement” zisizozidi 10.
|
|
Kupokea vitabu vilivyokwisha tumika mara baada ya kutumika na kuhakikiwa.
|
Ndani ya dakika 3 kwa kila kitabu
|
|
Kutoa vitabu vya kukusanyia mapato kwa wakusanya mapato
|
Ndani ya dakika 3 kwa kila kitabu
|
|
Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kufanya ufuatiliaji.
|
Ndani ya siku 3 kila wiki.
|
KITENGO CHA MATUMIZI:
|
||
|
Uandishi wa hati za malipo kutafanyika kwa maombi yaliyopitishwa na afisa mhasibu
|
Ndani ya dakika 3
|
|
Kutoa hundi kwa wateja na kuzitasajili katika rejista kabla ya kuchukuliwa.
|
Ndani ya dakika 3 kwa kila hundi
|
|
Kujibu hoja za Mkaguzi wa Ndani na wa Nje. Mara baada ya hoja kuibuliwa.
|
Ndani 15
|
|
Kuhakiki Mihutasari ya malipo na hundi toka vijijini baada ya ukaguzi.
|
Ndani ya dakika 5
|
KITENGO CHA KUFUNGA HESABU:
|
||
|
Kuandaa “Recurrent Budget” na kuiwasilisha sehemu husika.
|
Ndani ya miezi 4 (Januari – April).
|
|
Kuandaa na kufunga hesabu za mwisho wa mwaka kwa idara zote za Halmashauri
|
Ndani ya miezi 3
|
|
Kuandaa taarifa za robo mwaka na kuzituma kwa RAS, TAMISEMI na kuwasilisha katika vikao vya kisheria.
|
Siku tano (5)
|
|
Kuandaa taarifa za fedha kwa ajili ya LAAC.
|
Kila baada ya miezi 3.
|
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.