NA.
|
MIRADI ILIYOPANGWA KUTEKELEZWA 2020/2021
|
KIASI KILICHOTENGWA
|
1.
|
Uendeshaji wa vikao vya kisheria vya Kamati mbalimbali pamoja na Baraza
|
310,092,000 |
2.
|
Kuendelea kutoa mikopo kwa vikundi vya kiuchumi vya Wanawake, vijana na watu wenye walemavu vilivyopo katika Halmashauri
|
353,442,100 |
3. | Kurudisha 20% ya mapato ya ndani katika vijiji kwa ajili ya kuendeleza shughuli mbalimbali za maendeleo
|
706,884,200.00 |
4.
|
Kukamilisha ujenzi wa Hosteli ya wasichana katika Sekondari ya Iwiji
|
15,000,000 |
5 | Kukamilisha ujenzi wa nyumba 2 za walimu katika shule za Msingi Igoma II na Isebe
|
20,000,000 |
6 | Kuendeleza ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inayojengwa katika eneo la Inyala
|
500,000,000 |
7 | Kuendelea kutoa Elimu bila malipo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.
|
1,638,997,500 |
8.
|
Ukamilishaji wa vyumba 6 vya madarasa katika shule za msingi Mbalizi II, Isangati, Itizi, Igoma I, Itimba na Isyasya
|
75,000,000 |
9 | Ukarabati wa miundombinu ya Halmashauri
|
10,000,000 |
10
|
Kuwasaidia wanafunzi taulo za kike wawapo shuleni.
|
8,000,000 |
11
|
Kuazisha kitalu cha kuzalisha miche ya parachichi 10,000.
|
10,000,000 |
12
|
Kuanzisha vitalu 5 vya uzalishaji miche ya kahawa katika kata ya isuto, Igale na Iwindi.
|
12,000,000 |
13
|
Ununuzi wa shamba ekari 3 kwa ajili ya kuanzisha shamba la Halmashauri la uzalishaji wa parachichi
|
10,660,000 |
14
|
Ununuzi wa POS kwa ajili ya kukusanyia ushuru
|
20,000,000 |
15
|
Kutoa huduma za dharura wakati wa majanga
|
10,000,000 |
16
|
Ununuzi wa gari litakalosaidia katika shughuli mbalimbali za Halmashauri.
|
140,000,000 |
17
|
Kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama wa Mama na Mtoto zinazofadhiliwa na Shirika la kimataifa UNICEF
|
493,653,750 |
18 | Kuchochea maendeleo ya jimbo la Mbeya Vijijini kutoka Mfuko wa Jimbo.
|
60,400,000 |
19 | Kuwezesha vituo vya tiba kutoa huduma za Afya kupitia ufadhili wa Mfuko wa pamoja wa Afya (HSBF).
|
640,292,000 |
20
|
Kuendeleza mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI kwa ufadhili wa shirika la WALTER REED.
|
159,700,616.75 |
21
|
Ujenzi wa Jengo la utawala la Halmashauri
|
1,000,000,000 |
22
|
Ujenzi wa wodi 3 katika Hospitali ya Wilaya ya Mbeya
|
500,000,000 |
23
|
Ununuzi wa Vifaa tiba katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
|
500,000,000 |
24
|
Umaliziaji wa Zahanati katka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya
|
150,000,000 |
25
|
Ujenzi wa maabara katika shule za Sekondari
|
150,000,000 |
26 | Umaliziaji wa vyumba vya madarasa katika shule za Msingi
|
140,000,000 |
27 | Mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF)
|
1,896,798,000 |
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.