1:0 UTANGULIZI.
Idara ya Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya watumishi 45; kati ya hao saba (7) ni Maafisa Mifugo, ishirini na tano (25) ni Mafisa Mifugo Wasaidizi, Madaktari wa Mifugo wapo wawili (2), Maafisa Uvuvi wapo wawili (2), na mmoja (1) na nane (8) ni Maafisa Mifugo ngazi ya kijiji.
2:0 IDADAI YA MIFUGO
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya mifugo 475,364 ambao kati yao 72,099 ni Ng’ombe, 65,416 ni Mbuzi, 9,388 ni Kondoo, 2,578 ni Punda, 8,990 ni Mbwa, 20,942 ni Nguruwe, 291,894 ni Kuku, 1,640 ni Bata nap aka wapo 2,417.
3:0 ENEO LA MALISHO
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetenga maeneo yenye ukubwa wa Hekta 2,575.05 kwa ajili ya malisho ya mifugo katika vijiji vya Mjele na Chang’ombe.
4:0 MAJUKUMU YA KAZI ZA IDARA
Idara ya Mifugo na uvuvi inafanya majukumu mbalimbali chini ya vitengo vyake vikuu viwili ambavyo ni kitengo cha Mifugo na Kitengo cha Uvuvi.
4:1 Majukumu ya Kitengo cha Mifugo
Sheria ya Veterinari (Veterinary Act) Na.16 ya mwaka 2003
Sheria ya Magonjwa ya Mifugo (Animal Disease Act) Na. 17 ya mwaka 2003
Sheria ya Chakula, Madawa na Vipodozi Tanzania (The Tanzania Food, Drugs, and Cosmetics Act) ya mwaka 2003
Sheria ya Biashara ya Ngozi (The Hides, Slams and leather Trade) Na. 18 ya mwaka 2008
Sheria ya Ustawi wa Wanyama (The Animal Welfare Act) Na, 19 ya mwaka 2008
4:2 Majukumu ya Kitengo cha Uvuvi
5:0 MAFANIKIO
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.