Kitengo hiki kinahusika na kuandaa mpango wa manunuzi, kusimamia manuzi, ufuatiliaji wa mali za halmashauri pamoja na kuandaa matangazo ya fulsa za zabuni mbalimbali. Pia kinahusika na huhifadhi, kutunza na kusambaa bidhaa zilizonunuliwa
NA |
HUDUMA ZITOLEWAZO |
VIWANGO VYA MUDA
|
|
Kujibu madokezo na barua toka idara mbalimbali za Halmashauri.
|
Ndani ya Siku 3
|
|
Kujibu madokezo na barua toka washika dau mbalimbali za Halmashauri.
|
Ndani ya siku 6
|
|
Kupokeaa mali zilizoombwa na idara mbalimbali toka kwa wazabuni.
|
Ndani ya Siku 7 baada ya kutoa LPO
|
|
Kuandaa na kupitia hadidu za rejea kwa ajili ya kutangaza zabuni za ndani ya nchi baada ya kupata maombi.
|
Ndani ya siku 21
|
|
Kufanya tathmini ya zabuni na kuzawadia zabuni.
|
ndani ya siku 30
|
|
Kutangaza zabuni za Ujenzi
|
Ndani ya siku 90
|
|
Kutoa tuzo ya zabuni na kumjulisha mzabuni alieshinda zabuni.
|
Ndani ya siku 7
|
|
Kupokea na kujaza nukuu za bei ya mahitaji ya wateja (quotations)
|
Ndani ya wiki 1
|
|
Kuandaa hati ya manunuzi (LPO) na kupitishakwa wahusika
|
Ndani ya siku 1
|
|
Kukagua mali toka kwa wazabuni na kuingiza katika vitabu vya mali (stores ledger)
|
Ndani ya siku 7
|
|
Kuandaa nyaraka muhimu za manunuzi kwa ajili ya malipo ya mzabuni
|
Ndani siku 1
|
|
Kuandaa mpango na taarifa ya manunuzi kwenda CMT na PPRA
|
Ndani ya siku 20
|
|
Kujibu Hoja za Ukaguzi toka kwa CAG, CIA, PPRA mara baada ya kuibuliwa.
|
Ndani ya 5
|
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.