HUDUMA YA AFYA
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ina vituo 71 vinavyotoa huduma za kinga na tiba. Kati ya hivyo kuna Hospitali (2) ambayo ni Hospitali teule ya wilaya Mbalizi-Ifisi na Hospitali ya Mbalizi Jeshi. Halmashauri ina Vituo vya Afya vitatu (3) kati ya hivyo 2 ni vya Serikali na 1 ni cha binafsi na Zahanati 66 kati ya hizo za Serikali ni 58, Mashirika ya dini tano (5) na binafsi moja (3).
Aidha kwa wastani wananchi wanapata huduma za Afya katika umbali wa Km 20 kwa Vituo vya Afya na Wastani wa umbali wa Km 7 kutoka kwenye Zahanati.
2.4.2 MIKAKATI YA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.