Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inaongozwa na Baraza la Madiwani ambacho ndicho chombo kikuu cha maamuzi. Kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya za Mwaka 2013 kanuni ya 40 (1) Halmashauri kupitia mkutano wa mwaka itateua wajumbe wa kamati mbalimbali za kudumu, ikiwema kamati ya Kudhibiti Ukimwi.
WAJUMBE WA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI
Kama ilivyoelezwa hapo juu kuwa kupitia Mkutano wa Mwaka Baraza la Madiwani linajukumu kubwa ya kufanya uteuzi wa wajumbe wa kamati mbalimbali za kudumu ikiwemo kamati ya Kudhibiti Ukimwi.
Ifuatayo ni orodha ya wajumbe wa Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
Orodha ya wajumbe wa kamati ya Kudhibiti Ukimwi.pdf
MAJUKUMU YA KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI.
Kamati ya Kudhibiti Ukimwi inatekeleza majuku yake kisheria kama yalivyoainishwa kwenye Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya za Mwaka 2013. Majukumu hayo ni kama ifuatavyo:
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.