VIVUTIO VYA UTALII VILIVYOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA | |||||||
Na. | KIVUTIO CHA UTALII | MAHALI KILIPO | MMILIKI/ UTAWALA | HALI YA MIUNDOMBINU | HUDUMA ILIYOPO | NAMNA YA KUFIKA | MELEZO MENGINE |
1 | Ziwa Ngosi | Msitu wa Mporoto kijiji cha Iwalanje | Tanzania forest services (TFS) | Barabara ya Iduda inapitika hadi katika mpaka wa msitu. Ni dakika 20 ukitembea kwa miguu toka eneo la mpaka wa msitu hadi kufika ziwani. | Kuangalia ziwa ukiwa kwenye kingo za ziwa | Njia ya kupita Iwalanje na njia ya kupita Iduda (eneo la jiji la mbeya) NJia ya Iwalanje ni KM 4 na njia ya Iduda ni KM 11 toka barabara ya lami | TARURA wamefanya upembuzi yakinifu wa barabara ya Iwalanje Msitu wa Mporoto |
2 | View Poins (Maeneo ya Uono) | Kawatele kwenye minara ya TBC na Radio Maria kijiji cha Ilowelo | TANROADS | Kunafikika vizur ibarabara ni ya lami mpaka eneo husika | Kuangalia maeneo ya bonde la Usangu-Mbarali (Usangu plains) | Barabara kuu ya mbeya- Chunya | Halmashauri ipo kwenye matangazo ya kumpata mwekezajimwenza (mbia) |
3 | Kilele cha mlimaMbeya (Mbeya peak) | KipoIwanzakupitiaMwaboho | TFS | Hali ya barabarasinzuri, wakati wa masikainapitika kwa tabu | kuangalia Uwanja wa ndege wa songwe, Ziwa rukwa, Jiji la mbeya na Baadhi ya maeneo ya chunya | Barabara ya lamitokaMbeyamjini hadi Kawatire kasha barabara ya vumbi hadi kijiji cha Iwanza | TARURA wamewekakwenyempangokutengenezabarabarambadala ya IkukwaKawatere-mailitano-Idimi-Ipomu-Mwabowo-Iwanza |
4 | Eneo lllililo juu katika barabara zote nchini | Kijiji cha Ipinda katia ya Ihango | TANROADS | kunafikika vizuri barabara ni ya lami hadi eneo husika | kuona eleo lililo juu kabisa kwa barabara zote nchini | Barabara kuu ya mbeya- Chunya | kujenga vibanda na migahawa ya kupumzika wakati wa kuangalia bonde la usangu |
5 | ukuta wa chifu Merere (Ngome ya Chifu Merere) | Kitongoji cha Utengule kata ya Utengule Usongwe | Mamlaka ya mji mdogo Mbalizi | Barabara inafikika kwa urahisi hadi eneo la ukuta | kuona na kupata historia ya chifu merere | Barabara ya Mbaliz-Makongolosi | eneo la ukuta liezekwe kwa nyasi ili kutunza uhalisia wake |
6 | Daraja la Mungu | Kijiji cha Izumbe kata ya Igale | Kijiji cha Izumbwe | Barabara inafikika kwa urahisi hadi eneo la daraja | kuona maajabu ya daraja la asili | Barabara ya Vumbi toka Mbalisi kuelekea kijiji cha Wimba | eneo hili linatakiwa kuendelezwa na kutangazwa ili kuvutia watalii |
7 | Maeneo ya kuweka kambiya kitalii(Camping site) | Eneo la msitu wa hifadhi Ilungu | Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya | barabara inapitika | maeneo ya kuweka kambi | Njia ya barabara ya lami toka Mbeya hadi Isyonje kisha barabara ya vumbi Isyonje-Kikondo au barabara ya lami Mbeya-Mswiswi kisha barabara ya vumbi Mswiswi-Ifupa | Msitu wa Ilungu una mandhari nzuri inayowavutia watalii kupumzika wakati wa kwenda na kurudi Kitulo |
8 | Shimoni | Kijiji cha Nsongwi juu kata ya Ijombe | Kijiji cha Ijombe | barabara inahitaji matengenezo | kuangalia muenekano wa jiji la Mbeya kwa juu | Barabara ya Uyole-Nsongwi Juu | eneo hili linatakiwa kuendelezwa kwa kutengenezwa kumbi za mikutano,hoteli za kitalii, viwanja vya michezo, migahawa na bustani |
9 | Bustani ya wanyama pori Ifisi | Kijiji cha Ikumbi kata ya Songwe | Kanisa la Uinjilist Lehner | kunafikika vizuri barabara ni ya lami hadi eneo husika | kuona wanyama wa polini waliofugwa | Barabara kuu Mbeya-Tunduma |
|
10 | Maji moto | Kijiji cha Ilota kata ya Mshewe | Kanisa la Uinjilist Lehner | barabara inahitaji matengenezo | kuoga na kunawa maji moto asillia pamoja na kupata tiba asilia ya ngozi | Barabara ya vumbi toka Mbalizi hadi eneo husika | kwa sasa kanisa la uinjilisti Lehner limejenga vyumba vya kulala wageni pamoja na mabwawa ya kuogelea |
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.