Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumla ya shule za Sekondari 48, kati ya hizo 28 ni za Serikali na shule binafsi zipo 18. Shule hizo zote zinajumla ya wanafunzi 17, 985 na walimu wapo 710, kati ya hao walimu wa masomo ya Sayansi ni 126 na walimu wa Sanaa wapo 584. Shule za Serikali zilizopo kwa majina ni kama ifuatavyo:
Horongo, Ihango, Ikhoho, Ikukwa, Ilembo, Ilunga, Ilungu, Imezu, Isuto, Itala, Iwalanje, Iwiji, Iwindi, Izyira, Malama, Mpesu, Mshewe, Mwakipesile, Mwaselela, Nsongwi juu, Santilya, Shibolya, Shisyete, Songwe, Swaya, Teule, Usongwe na Yalawele.
Shule zinazoendeshwa na watu binafsi, Jumuia ya wazazi (TAPA) pamoja na taasisi za dini ni kama ifuatavyo:
Adam, Arise, Irambo, Itundu, Kanama, Maghabe, Maranatha, Mbalizi, Ntozo, Onicah, Pandahill, Rohila, Samaritan, Solace, St. Mary's Seminary Mbalizi, Swilla, Tembela na Wende.
MAFANIKIO YA IDARA
Mafanikio yaliyopatikana katika Idara ya Elimu Sekodari ni pamoja na:
CHANGAMOTO
MIKAKATI YA KUBORESHA IDARA YA ELIMU SEKONDARI
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.