kitengo hiki kinajihusisha na utoaji wa huduma za ukaguzi wa matumizi ya fedha za Umma katika Halmashauri .
NA |
HUDUMA ZITOLEWAZO |
VIWANGO VYA MUDA
|
1.
|
Kuandaa na kutekeleza mpango mkakati wa ukaguzi
|
|
2.
|
Kutoa ushauri kwa maafisa Masuhuli, wakuu wa Seksheni na vitengo juu ya matumizi ya fedha
|
|
3.
|
Kukagua thamani ya miradi ya maendeleo
|
|
4.
|
Kufuatilia hoja na mkaguzi wa nje
|
|
5.
|
Kutoa taarifa ya ukaguzi wa ndani
|
|
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.