HUDUMA YA MAJI
Huduma ya maji safi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya inajumuisha vijiji vinavyo hudumiwa na Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira Mbalizi na Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya. Mamlaka ya maji Safi na usafi wa mazingira Mbalizi inahudumia wakazi 30,692 sawa na asilimia 50 ya wakazi 61,298 wanaotakiwa kuhudumiwa na mamlaka na wakazi 97,750 kati ya 244, 021 waishio maeneo ya vijijini wanapata huduma ya maji safi sawa na asilimia 40. Kwa wastani huduma ya maji katika Halmashauri ya wilaya ya Mbeya ni asilimi 45 ya wakazi 305,319 waishio mjini na vijijini kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2012.
Miradi ya maji iliyopo katika Halmashauri
Aina ya Mradi
|
Idadi
|
Mserereko (Gravity)
|
14
|
Pumped Schemes
|
2
|
Visima vifupi
|
7
|
Uvunaji wa maji ya mvua
|
12
|
Mtego wa maji (Spring capping)
|
5
|
Hand pump
|
9
|
Visima vya asili
|
138
|
Hydromills
|
1
|
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.