Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe Beno Malisa amewataka wanawake kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi ujao kuanzia uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu (2024).
Malisa ameyasema hayo leo katika siku ya wanawake Duniani ilofanyika kiwilaya katika viwanja vya stendi Mbalizi halmashauri ya Wilaya ya Mbeya ambapo alikuwa mgeni rasmi
Pamoja na kuwapongeza wanawake kwa kujitokeza kwa wingi kuadhimisha siku yao amewaasa kuendelea kusimama imara kupigania haki zao na kushiriki kwenye shughuri za kimaendeleo kama kaulimbiu ya mwaka huu inavyoelekeza
ikionesha umuhimu wa mwanamke katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. .
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.