Katika utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Utoaji Chanjo ya Surua Rubella itakayoanza tarehe 15-18 Febuari 2024
Timu ya Usimamizi wa Huduma za Afya (CHMT) ikiongozwa na mratibu wa huduma za chanjo Wilaya ya Mbeya comrade Christopher Msaghaa imewapatia mafunzo watumishi wa Afya (82) (vaccinator & recorder) kutoka Tarafa ya Tembela , ili kuboresha Utoaji wa huduma hiyo ya chanjo ya Kitaifa yenye lengo la kuzuia magonjwa ya Surua na Rubella. Mafunzo haya yamefanyika leo tarehe 12 Februari 2024 katika Ukumbi wa Shule ya Secondari Galijembe iliopo Kata ya Tembela Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.