“Fedha hiziza mikopo zisiwapelekee mkaenda kupata Corona kwa kukumbatiana,kumbatiana na watu na badala yake fedha hizi zikatimize malengo mliyokusudia”. Stephen E.Katemba Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya.
Kaulihii ameitoa wakati wa zoezi la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya Vijana, wanawake na walemavu lililofanyika katika ukumbi wa kijiji inyala.
Aidha Katemba amewakumbusha wanufaika wa mikopo hiyo kuhakikisha wanajikinga na virusi ya Corona kwa kunawa mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara, kuacha tabia ya kusalimiana kwa kukumbatiana, kushikana mikono pamoja na kubusiana.
Kwa kipindi cha robo ya tatu Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imetoa kiasi cha shilingi milioni 383,687,000/= kwa mwaka wa fedha 2019/2020.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ndg Stephen E. Katemba akizungumza na Wanufaika wa Mikopo
Kwa habari zaidi bonyeza link hapa chini Kutazama
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.