Kaimu RAS, katibu tawala mkoa wa Mbeya Ndug. Vicent Mbua amewataka maafisa wa halamashauri saba za mkoa wa Mbeya waliopatiwa mafunzo ya mfumo mpya wa manunuzi ya serikali wa (NEST) kwenda kuyafanyia kazi kama walivyo fundishwa ili kuongeza tija katika utendaji kazi wa serikali katika halmashauri zao.
Mbua ameyasema hayo wakati wa kufunga mafunzo hayo Agosti 27/2023 katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Mbeya ambapo mafunzo hayo yalidumu kwa muda wa siku tano tangu kuanza kwake.
Hata hivyo washiriki wa mafunzo hayo wameishukuru serikali kwa kuanzisha mfumo huo na kuwapatia mafunzo hivyo wameahidi kwenda kuwaelekeza maafisa wenzao ambao hawakupata mafunzo hayo ili kila mtumishi aweze ku,utambua namna mfumo huo unavyo fanya kazi.
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.