PONGEZI MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Ndg. Paul Mamba Sweya ametoa pongezi kwa idara ya Elimu Sekondari, Walimu,Wahitimu wa kidato cha sita 2024, wazazi pamoja na Wadau wote wa Elimu kufuatia matokeo mazuri ya mtihani wa kidato cha sita 2024 yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani Tanzania ( NECTA).
Kwa mujibu wa NECTA, jumla ya shule 10 za kidato cha sita ambazo ni Ilembo, Iwalanje, Maghabe, Maranatha, Mbalizi, Pandahill, Rohila na Swilla zilizokuwa na jumla ya watahiniwa 1,292 wote wamefaulu kwa daraja la kwanza hadi la tatu kama inavyoonekana kwenye jedwali;
JINA LA SHULE |
WALIOFANYA MTIHANI |
DARAJA LA I |
DARAJA LA II |
DARAJA LA III |
DARAJA IV |
DARAJA 0 |
ILEMBO
|
97 |
27 |
54 |
16 |
0 |
0 |
IWALANJE
|
168 |
55 |
88 |
25 |
0 |
0 |
MAGHABE
|
31 |
17 |
14 |
0 |
0 |
0 |
MARANATHA
|
32 |
25 |
7 |
0 |
0 |
0 |
MBALIZI
|
233 |
159 |
70 |
3 |
0 |
0 |
PANDAHILL
|
445 |
267 |
159 |
19 |
0 |
0 |
ROHILA
|
5 |
0 |
2 |
1 |
0 |
0 |
SWILLA
|
2 |
2 |
0 |
0 |
0 |
0 |
USONGWE
|
189 |
141 |
48 |
0 |
0 |
0 |
WENDA
|
90 |
31 |
39 |
19 |
0 |
0 |
JUMLA
|
1,292 |
724 |
481 |
83 |
0 |
0 |
‘’Huu ni ufaulu mkubwa sana kwa Halmashauri yetu, nawapomgeza sana wote waliofanikisha matokeo haya mazuri kwa vijana wetu,matokeo haya yanaonesha ushirikiano mzuri uliopo kati ya Halmashauri na wadau wote wa elimu ndani na nje ya Halmashauri yetu ya Mbeya ‘’ amesema ndugu Sweya
Fatina Z. Msangi
Kaim Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
HALMASHAURI YA WILAYA YA MBEYA
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.