Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbeya Stephen E.Katemba amewataka wananchi wa kata ya Ilembo na Santilya kuhakikisha wanashirikiana na halmashauri katika kumalizia vituo vya afya vilivyo jegwa kwa ufadhili wa serikali kuu kwa kuchangia nguvu kazi.
Katemba ameyasema hayo wakati wa ziara ya kutembelea vituo vya Ilembo na Santilya akiwa nalengo kufahamu hatua ya ujenzi ilipofikia kabla ya vituo hivyo kuanza rasmi na wanhi kupata huduma karibu na maeneo yao.
“waheshimiwa madiwani, najua mkiwahamasisha wananchi,kazi watafanya kwani hawana shida kabisa m kiwaambia wabebe mawe watabeba,wabebe mchanga watabeba hivyo na wananchi wanatakiwa kushiriki ili kuweza kupunguza gharama za ujenzi ” Katemba.
Kazi zilizobaki ilivituo hivyo viweze kuanza kufanyakazi ni pamoja na ujenzi wa mashimo ya maji taka pamoja na njia za kuunganisha jengo na jengo(walk ways).
Mbaliz Road
Sanduku la posta: 599
Simu ya mezani: 025-2502260
Simu ya mkononi: 0762210758
Baruapepe: ded@mbeyadc.go.tz/info@mbeyadc.go.tz
Copyright ©2018 Mbeya District Coucil . All rights reserved.